Monday 11 July 2022

SIMBA SC YATAMBULISHA KIFAA KIPYA

Klabu ya soka ya Simba leo imemtambulisha mchezaji mpya Nassoro Kapama akisajiliwa kutoka Klabu ya Kagera Sugar fc ya mkoani Kagera, Mchezaji huyo anayecheza nafasi ya kiungo amesaini kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia miamba hiyo ya Kariakoo. Nassoro kapama anakuwa mchezaji wa nne na wapili mzawa kutambulishwa kunako klabu hiyo katika dirisha hili la usajiri.

SIMBA SC YATAMBULISHA KIFAA KIPYA

Klabu ya soka ya Simba leo imemtambulisha mchezaji mpya Nassoro Kapama akisajiliwa kutoka Klabu ya Kagera Sugar fc ya mkoani Kagera, Mche...